RWANDA MUSICIAN

3/11/2015

4/15/2014

Listen & Watch | I Love You Ganja Nana & Aggie Cox | 2014 Dj CashMizo Music)

Listen| Manya Size Yo Bobi Wine |2014 Dj CashMizo Music)

Download Buibui - Hii ngoma |2014 Dj CashMizo Music)


                                            BUIBUI hii Ngoma  kwa stair ya KICHICHI MAWE.Kichichi mawe ni aina ya mchezo mpya wa kucheza na  ninjia pia ya kupongezana kama sisi vijana kwakila jambo linalofanyika, Chichi mawe ni jina la bondia wangumi Tanzania anaejulikana sana kwa jina la Franc Miyayusho. Hivi karibuni Franc amekua akishinda mapambano yake yote na hana historia ya kupigwa hata mara moja. Kwa kuliona ilo mimi kama Buibui na nimsanii wa mziki huu wa nyumbani nimeona bora nimpongeza rafiki yangu mpendwa kwa kutoa aina ya uchezaji inayoitwa kichichi mawe.Kichichi mawe nitakua nacheza kila nitakapo kuwa kwenye show zangu na nitakua nacheza pia kwenye ngoma hii na nipo kwenye maandalizi ya mwisho ya Video yake na nitaonesha jinsi ya uchezaji huo mpya nilioupa jina la KICHICHI MAWE.4/11/2014

NEW MUSIC SOUND - Professor jay Ft. Diamond-1.Kipi Sijasikia - ( Produced by _ P-Funk Majani )

Veterna Bongo artist Professor Jay has been keeping busy during the first quarter of 2014 by featuring in various artists records. This week he released his latest offering that features the current king of Bongo R & B Diamond on the chorus.
Kipi Sijasikia literally translates to “What haven’t I heard” and was produced by P.Funk Majani. Professor Jay